Friday, August 5, 2016

Sikuu ya Watoto

Tunamshukuru Mungu kwa hatua tuliyofikia mpaka sasa na kuweza kufanikisha sikukuu ya watoto 




 Vivyo hivyo kwenye sikukuu hiyo watoto waliweza kuonesha karama ya kusoma maandiko kadri ya uwezo waliopewa na Mungu










 Na zawadi pia zilitolewa kwa kila mtoto ambaye aliweza kusoma maandiko na kulishiriki kwenye sikukuu hiyo














Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki huduma hii Ameen!!!!!
REMNANT CHRISTIAN CENTRE

0 comments:

Post a Comment