Monday, September 5, 2016
Mkutano Mkubwa wa Injili Sept.2016
3:46 PM
No comments
N siku ya kwanza ya mkutano wetu ambao ulioandaliwa na kanisa letu na mnenaji alikuwa Mch/Minjilisti Isaack Mwita.
Friday, August 5, 2016
Sikuu ya Watoto
10:05 AM
No comments
Tunamshukuru Mungu kwa hatua tuliyofikia mpaka sasa na kuweza kufanikisha sikukuu ya watoto
Vivyo hivyo kwenye sikukuu hiyo watoto waliweza kuonesha karama ya kusoma maandiko kadri ya uwezo waliopewa na Mungu
Na zawadi pia zilitolewa kwa kila mtoto ambaye aliweza kusoma maandiko na kulishiriki kwenye sikukuu hiyo
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki huduma hii Ameen!!!!!
REMNANT CHRISTIAN CENTRE