Sunday, June 4, 2017

UMRA Orrphanage Centre

Tuna mshukuru Mungu kwa kutupa kibali kingine tena kwenda kufanya huduma hii kupitia kusaidia vituo vya kulelea watoto yatima pamoja na watu waishio katika mazingira hatarishi. Safari hii tulikwenda kituo cha kulelea watoto yatima na watu waishio katika mazingira hatarishi ambcho kipo Mbezi Makabe(MSAKUZI)



















0 comments:

Post a Comment