Thursday, March 27, 2014
GLORY EASTER CRUSADE
1:40 PM
No comments
Ni mkutano ambao umeandaliwa chini ya Victory Gospel
Assembly (T).Ambao unasaidiwa na Glory Cristian Centre. Ni mkutano wa aina
yake. Ambao utafanyika viwanja vya Remnant Centre maeneo ya Dar Es Salaam-Mbez-
Mwisho.
Kutana na watumishi wa Mungu katika mkutano
huu, Akishirikiana na Dr. Poul Shemsanga. Kwa wale ambao mko mbali pia usisite
kutembelea blog hii kwa maana vipindi vyote vya mkutano vitarushwa hewana chini ya Remnant Production Studio, chini ya
Director Levis Ndekeno.
NYOTE MNAKARIBISHWA