Thursday, March 27, 2014

GLORY EASTER CRUSADE


Ni mkutano ambao umeandaliwa chini ya Victory Gospel Assembly (T).Ambao unasaidiwa na Glory Cristian Centre. Ni mkutano wa aina yake. Ambao utafanyika viwanja vya Remnant Centre maeneo ya Dar Es Salaam-Mbez- Mwisho.
 Kutana na watumishi wa Mungu katika mkutano huu, Akishirikiana na Dr. Poul Shemsanga. Kwa wale ambao mko mbali pia usisite kutembelea blog hii kwa maana vipindi vyote vya mkutano vitarushwa hewana  chini ya Remnant Production Studio, chini ya Director Levis Ndekeno.

NYOTE MNAKARIBISHWA

0 comments:

Post a Comment