Vivyo hivyo kwenye sikukuu hiyo watoto waliweza kuonesha karama ya kusoma maandiko kadri ya uwezo waliopewa na Mungu
Na zawadi pia zilitolewa kwa kila mtoto ambaye aliweza kusoma maandiko na kulishiriki kwenye sikukuu hiyo
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki huduma hii Ameen!!!!!
REMNANT CHRISTIAN CENTRE