Sunday, June 11, 2017
PICHA: Ibada ya Jumapili (JUNE2017)
11:52 AM
No comments
Ibada hii ilikuwa ya kipekee sana siku ya leo Mungu alishuka na watu walihudumiwa ipasa...
Sunday, June 4, 2017
UMRA Orrphanage Centre
12:03 PM
No comments
Tuna mshukuru Mungu kwa kutupa kibali kingine tena kwenda kufanya huduma hii kupitia kusaidia vituo vya kulelea watoto yatima pamoja na watu waishio katika mazingira hatarishi. Safari hii tulikwenda kituo cha kulelea watoto yatima na watu waishio katika mazingira hatarishi ambcho kipo Mbezi Makabe(MSAKUZI)
...