IMANI NINI?
1. .Ni kuyasema yasiyokuwako
kana kwamba yamekuwa pasipo shaka moyoni (Warumi 4:17),
2. Ni kutangaza mwisho wa
jambo tangu mwanzo wake pasipo hofu kama afanyavyo Mungu (Isaya 46:9-10),
3. Ni uhakika wa mambo yatarajiwayo,
ni bayana ya mambo yasiyoonekana (Waebrania 11:1),
4. .Ni kuamini kwamba yale
uliyoyaomba kwa Mungu umeyapokea mara tu umalizapo kuomba (Bwana Yesu, Marko
11:23-24),
Chanzo cha Imani

MISINGI YA
IMANI(Mathayo8:23-27)
1. Imani ipo katika viwango
mbalimbali vinavyopimika.( mfano imani ndogo na kubwa)
2. Unaweza ukawa na Yesu na
usiamini kwamba anaweza kukusaidia.( Marko 4:36-41.)
3. Unaweza kuwa na imani
lakini ipo pengine na si kwa Yesu( Luka 8:22-25.)
MAMBO YA KUJIFUNZA KUPITIA
IMANI
1. Hofu/mashaka/woga/kusitasita
ndio maadui za imani. (Waebrania 10:38, Marko 11:22).
2. Unapokuwa katika
jaribu/changamoto haupaswi kuutazama ukubwa wa jaribu bali udumu ukiamini kile
ambacho Mungu amesema kwa habari ya eneo ambalo unalipitia (Yohana 3;14, Hesabu
21:4-9).
3. Jizoeze kufanya tathmini
ya kiwango cha imani yako kwa kuangalia kama kinatosheleza kutatua changamoto
0 comments:
Post a Comment